PichaSnap
🔍 Tafuta Picha Zako 📸 Kwa Wapiga Picha 📸 Jisajili Kama Mpiga Picha 🔑 Ingia
📸 Mtandao wa Wapiga Picha Tanzania

Uza Picha Zako Papo Hapo Ukumbini

Jisajili kwa sekunde 15 tu, anzisha tukio, wageni wajinunulie picha zao kwa M-Pesa au Tigo Pesa, nawe pokea pesa papo hapo.

⚡ Sekunde 15 Usajili 💰 Malipo ya Moja kwa Moja Simuni 🛡️ Watermark Ulinzi
Pesa za mauzo ya picha zitaingizwa moja kwa moja kwenye namba hii.
➕ Ongeza Barua Pepe (Email) - Sio lazima
🔒 Bila malipo yoyote ya mwanzo. Malipo ya picha yanaingia kwenye simu yako.

💡 Nini Kinafuata Baada ya Kujisajili?

  • Unapelekwa moja kwa moja kwenye Studio / Kameraman Portal yako.
  • Unaanzisha tukio lolote jipya kwa sekunde 10 tu.
  • Unapata QR Code ya Tukio Lako iliyo tayari kuchapishwa au kuwaonyesha wageni popote (ukumbini, fukweni, au shereheni).
  • Unapakia picha moja kwa moja toka kamera au kompyuta yako wakati sherehe ikiendelea.
  • Wageni wanaponunua picha, pesa inaingia moja kwa moja kwenye namba yako ya simu!